Home Pilipili Weddings Mchumba afungukia mavazi ya Shilole

Mchumba afungukia mavazi ya Shilole

1 min read
0
0
Zuwena Mohamed.

JAMAA ambaye ndiye usingizi wa staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, Ashrafu Uchebe, ameibuka na kumpa ruksa mpenzi wake ya kuvaa nguo za nusu utupu na kuwaambia mashabiki wamuache avae kwa sababu kazi yake inamruhusu.

Akizungumza na Amani, Uchebe alisema kuwa, anawashangaa wanaomwambia ‘baby’ wake huyo hana mavazi ya staha wakati yeye anamuona yupo sahihi.

“Jamani baby wangu wanataka avae dela apande nalo jukwaani wakati mavazi ya kupanda jukwaani yapo? Naomba waniachie malkia wangu kama wanataka na wao wavae,” alisema Uchebe ambaye uhusiano wake na mwanamuziki huyo umekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Osward Anderson
  • Wolper: Siachi kuwa na viben ten

      Msanii Jacline Wolper amewataka watu waache kumsema vibaya kuhusu mahusiano yake, na kuw…
  • Kitabu cha Mc Pilipili Rasmi Chatua Mtaani

    MCHEKESHAJI maarufu nchi Emmanuel Mathias maarufu kama Mc Pilipili mapema mwaka huu alitoa…
Load More In Pilipili Weddings

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

TID afunguka issue ya kumpa ujauzito Rachel Kizunguzungu

Msanii Khalid Mohamed maarufu kwa jina la TID, ameruka viunzi na kukana tetesi za kumpachi…