Home Habari Auwawa Ikiwa Zimebaki Siku Saba Kwajili Ya Uchaguzi Nchini Kenya

Auwawa Ikiwa Zimebaki Siku Saba Kwajili Ya Uchaguzi Nchini Kenya

1 min read
0
0

Aliyekuwa meneja wa mifumo ya mawasiliano ya kompyuta wa tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) CHRIS MSANDO auwawa na mwili wake umepatikana ukiwa umeharibika huku mkono mmoja ukiwa haupo.

Ikumbukwe Tume hiyo ilitoa taarifa Jana police juu ya kutoweka gafla kwa meneja Huyo  toka siku ya ijumaa ya julai 28 mwaka huu na hakujulikana alipo.

CHRIS MSANDO, ndio aliyekua msimamiza wa mfumo wa kielekroniki wa watokeo ya uchaguzi. Hii inamaana kwamba yeye ndio alikua mhakiki wa kwanza wa matokeo kabla hayajatangazwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.

Sababu za kifo chake hazijajulikana bado uchunguzi unaendelea

RIP CHRIS MSANDO .

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…