Home Cheka na Pilipili Kitabu cha Mc Pilipili Rasmi Chatua Mtaani

Kitabu cha Mc Pilipili Rasmi Chatua Mtaani

1 min read
0
1

MCHEKESHAJI maarufu nchi Emmanuel Mathias maarufu kama Mc Pilipili mapema mwaka huu alitoa kitabu cha historia ya maisha yake kinachotambulika kwa jina la “Mtoto wa Nuru” na kukizindua katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dodoma mwezi  June mwaka huu.

Baada ya uzinduzi huo wa aina yake kitabu cha Mc Pilipili rasmi kimeingia mtaani na kinapatikana maeneo tofauti tofauti ya jiji la Dar es salaam ikiwemo Sinza Afrikasana kwa Mak Juice, Ubungo kituo cha mabasi cha mkoa, Mlimani duka la vitabu na online unaweza kuletewa mpaka nyumbani  kwako kwa kupiga nambari 0652262797

Aidha mwandishi wa kitabu bwana Salum Kim Milongo amesema kuwa ukinunua kitabu cha Mc Pilipili utakuwa umechangia watoto waishio katika mazingira magumu kwani jina lenyewe la kitabu Mtoto wa Nuru basi nuru hiyo iwaangazie watoto wengi waliokatika giza la umasikini.

 

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Cheka na Pilipili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…