Home Habari Ajali Basi la King Lion, 43 Wafariki Dunia na 24 Kujeruhiwa Zimbabwe

Ajali Basi la King Lion, 43 Wafariki Dunia na 24 Kujeruhiwa Zimbabwe

29 second read
0
0

ZIMBABWE: Watu 43 wamefariki na 24 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya King Lion walilokuwa wakisafiria kuacha njia kisha kugonga mti.

Kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Polisi, amesema basi hilo lililopata ajali katika njia kuu ya Harare-Chirundu lilikuwa likielekea nchini Zambia.

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…