Home Habari RC Kilimanjaro Atua Msibani kwa Ndesamburo

RC Kilimanjaro Atua Msibani kwa Ndesamburo

24 second read
0
0

MOSHI, KILIMANJARO: Mkuu mpya Bi. Anna Mghwira leo afika nyumbani kwa Marehemu Philemon Ndesamburo na kutoa salamu za pole.

Aidha amepata fursa ya kutembelea ofisi za CCM mkoani humo na kusaini kitabu cha wageni.

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…