Home Habari Al Shabaab Wauwa Raia 61 Somalia

Al Shabaab Wauwa Raia 61 Somalia

45 second read
0
0

SOMALIA: Wanamgambo wa Al Shabaab wamewaua Askari 61 wa eneo lisilo na mamlaka kamili la Puntland. Wafanikiwa kuteka sehemu ya mji.

Taarifa zinasema Al Shabaab waliuvamia mji wa Af Urur asubuhi ya leo ambapo waliwakuta Askari wachache ndipo walifanikiwa kuwaua na kisha kuuteka mji huo.

Hadi sasa ni ngumu kutambua ukubwa wa madhara ya uvamizi huo kwakuwa wapiganaji wa Al Shabaab walikata mawasiliano ndani ya mji huo.

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…