Home Habari Kambi ya Upinzani Leo Dodoma

Kambi ya Upinzani Leo Dodoma

28 second read
0
0

KAMBI ya Upinzani imewasilisha rufaa kwa Spika kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Mdee na Bulaya kwa kuwa ilikiuka kanuni za Bunge.

Kamati ya Mamlaka na Madaraka ya Bunge iliwafungia Wabunge hao kuhudhuria vikao 7 vya Bunge hadi mkutano wa Bajeti ujao mwaka 2018/19.

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…