Home Habari Wema, Mbowe Penzi Nzito…

Wema, Mbowe Penzi Nzito…

57 second read
0
0

Habari tulizozipata hivi punde ni kuwa IMEDHIBITIKA PASIPO SHAKA kuwa Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendel/ eo CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na Mwanachama wake Mpya WEMA Sepetu wako katika PENZI NZITO AMBALO LIMEIBUA SINTOFAHAMU.


Tumefanikiwa kupata Maongezi ya WEMA na MBOWE kwenye simu kama alivyofanya Mama yake kwa Steven Nyerere.
Naambatanisha na AUDIO sauti ya maongezi yao kwenye simu.

Hongera Mhe Freeman Mbowe, baada ya Kumzalisha Mbunge wako Mhe Murkya na sasa umemtia ujauzito mwingine, UMEHAMIA KWA DEGE LA JESHI WEMA SEPETU.

 

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…