Home Habari Watu Sita Wanusulika Kifo Kwa Ajari Iringa

Watu Sita Wanusulika Kifo Kwa Ajari Iringa

58 second read
0
0

WATU Sita akiwemo dereva wa gari la mizigo Fuso na dereva wa gari ndogo wamenusulika kufa katika ajali ya gari ilioyotokea maeneo ya Ilala manispaa ya Iringa mjini usiku wa kuamkia leo.

Shuhuda anatuabarisha kuwa ajali hiyo imetokea katika kona ya msikiti wa Ilala ambapo gari kubwa lilikuwa likitoke mjini na gari dogo lilikuwa likitokea chuo kikuu cha Mkwawa.

Taarifa za awali zinasema ya kwamba mpaka hii sasa ni dereva wa gari ndogo ndiye aliyeumia baadhi ya sehemu za mwili wake.

PICHA ZAIDI…

 

 

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…