Home Habari Watu Wawili Wapoteza Maisha kwa Kuchomwa Moto Arusha

Watu Wawili Wapoteza Maisha kwa Kuchomwa Moto Arusha

34 second read
0
0

Watu wawili , mwanume na mwanamke wanadaiwa kuwa wapenzi, wamekutwa wamekufa kwa kuchomwa na moto mitaa ya Whiterose, Sakina Arusha.

Umati mkubwa wa watu ulikusanyika eneo la tukio

Mtoa taarifa anasema ni wamefungwa mikono na miguu wote wawili na kuchomwa juu ya Godoro, nyumba haijapata madhara makubwa.

Taarifa zaidi zitafuata…!

 

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…