Home Cheka na Pilipili Mc Pilipili Apishana na Trump Marekani

Mc Pilipili Apishana na Trump Marekani

58 second read
0
0

AKIWA katika ziara ya kikazi Bara la Amerika mchekeshaji maarufu ulimwenguni Mc Pilipili, amepishana na Rais wa Marekani Donald Trump ambapo Mc Pilipili aliwasili juzi Mei 19, 2017 na Rais wa nchi hiyo Trump alipata ziara ya kikazi kwenda Saudia Arabia ikiwa ndio safari yake ya kwanza kimataifa.

Picha zaidi….

Muonekano wa Ikulu ya Marekani
Raia kutoka nchi mbalimbali na wamekani wakipiga picha za ukumbusho mbele y ikuu ya Marekani.
Mc Pilipili baada ya kusikia Trump hayupo nchini.
Wananchi wakiendelea na zoezi la picha.
Mc Pilipili akitafakari jambo.
Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Cheka na Pilipili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…