Home Cheka na Pilipili Mgogo Kuitikisa Marekani Leo

Mgogo Kuitikisa Marekani Leo

44 second read
0
0

Ni katika ziara yake udhaibuni, mchekeshaji maarufu Afrika ya Mashariki Mc Pilipili, tayari ameshawasili katika jimbo la Texas Marekani kwa tamasha kubwa la komedi ulimwenguni. Mc Pilipili amepata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania na Afrika kwa ujumla kuutangaza utamaduni wa Afrika katika matamasha makubwa matatu bara la Amerika.

Picha za matukio zaidi na www.mcpilipili.co.tz

T 255 DOM maana yake ni Tanzania, Dodoma.

 

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Cheka na Pilipili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…