Home Cheka na Pilipili Mkurugenzi wa Pilipili Media House Aagwa Kifalme Dar

Mkurugenzi wa Pilipili Media House Aagwa Kifalme Dar

1 min read
0
0

Na Salum Milongo/PMH

MEI 18, 2017 ni siku ya kihistoria katika familia ya marehemu Mathias Matebe ambapo familia ilimuaga Emmanuel Mathias, (Mc Pilipili) Uwanja wa Ndege Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akielekea Marekani kuhudhulia matamasha makubwa ya komedi ulimwenguni yanayotarajiwa kufanyika katika majimbo matatu tofauti.

Majimbo hayo ni pamoja na jimbo la Texas, Loss Angels na New York city.

Mama mzazi wa Mc Pilipili alifunguka kuwa yeye ndie anayemjua Mc Pilipili na katika hatua hiyo aliyoifikia si ya familia bali na hatua ya kuliwakilisha taifa na aliwaomba watanzania walichukulie jambo hili kiuzalendo.

wakati huo huo baadhi ya mashabiki waliohudhulia uwanjani hapo japo ilikuwa ni usiku sana, walishiriki sala ya pamoja ya kumuombea Mc Pilipili afike salama katika matamasha hayo makubwa aliyoalikwa.

Aidha Mc Pilipili alichekesha kwa kutania kama amekutana na Calvin Hurts yule mchekeshaji maarufu zaidi ulimwenguni.

 

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Cheka na Pilipili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mwanamuziki Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kw…