Home Trending Mtandaoni Tanzia: Dogo Mfaume Afariki Dunia

Tanzia: Dogo Mfaume Afariki Dunia

50 second read
0
0
Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume.

TANZIA: Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa “Kazi ya Dukani”, amefariki dunia leo.

Dogo Mfaume aliwahi kudaiwa kutumia dawa za kulevya na mpaka mauti yanamfika alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya)

 

Marehemu alipangiwa kufanyiwa upasuaji wa  Kichwa siku ya ijumaa (ambapo alikuwa na Uvimbe)lakini kwa mapenzi ya Mungu Dogo Mfaume amefariki leo Mei 17, 2017.

 

Facebook Comments

Load More Related Articles
Load More By Salum Milongo
Load More In Trending Mtandaoni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Mchumba afungukia mavazi ya Shilole

Zuwena Mohamed. JAMAA ambaye ndiye usingizi wa staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, Ashraf…